February 22, 2019





Uwanja wa Mkapa
Azam FC 1-3 Simba

Dakika 90 zinakamilika hapa Kwa Mkapa.

90+4 Rashid Juma anamfuata Abarola anaokoa

90+3 Azam wanapata kona, Simba wanaanua, Mudathiri anaachia muwa unapaa mawinguni.

90+2 Rashid Juma ndani Chama nje.
90+1 Chama anapiga kona Kagere anaotea.

Dakika 90 zinakamilika zinaongezwa dakika 4

89 Manula,Kagere, Mzamiru, Moris anaanua, Kotei,Zana , Dilunga, Chama,Dilunga, Chama, Zimbwe, Mzamiru Atta eneo la hatari 88 Ngoma amacheza faulo kwa Kotei.

84 Chirwa anadondoshwa chini na Zana wanapiga faulo Aggei anashikilia bega la Kagere  kichwa kinazama ndani, mwamuzi haipeleki kati, Wawa anatolewa nje. 

83 Domayo, Wawa anachezewa rafu na Chirwa.


80 Zimbwe, Kagere, Zimbwe, Mkude, Kotei,Ngoma anakunjua shuti anampa Domayo anazamisha majalo ya moto yanazama ndani na kurudi uwanjani mwamuzi anaweka kati.

79 Ngoma, Mudathir, Wadada, Sure boy Manula anaunyaka.

77, Yassin, Chama akampa Kagere akamalizia kwa mguu wa kulia kisha wanaenda kuutafuta mpira kwenye nyavu Kagere, Zana, Chama.

76 Zimbwe,Kagere, Chama, Kagere Abarola ananyakua, Wawa anamuachia Manula.

75 Dilunga anapoteza eneo la hatari.

74 Abarola, Mkude, Chama, Yasin, anadodondoshwa chini na Mudathiri anapewa kadi ya njano.


73 Mpira uaendelea, nafasi ya Okwi inachukuliwa na Mzamiru.


72 bado mpira umesimama Okwi anapewa huduma ya kwanza anabebwa kwenye machela na watu wa msalaba mwekundu.


70 Okwi anaanguka chini kwa purukushani baada yakugongana na Atta, anatolewa nje.

69 Bocco nje Dilunga ndani.

68 Wadada, Mudathiri, Wadada,Zimbwe, Chama, Kagere, Mkude, Wawa,Bocco,Mkude anacheza faulo kwa Ngoma.
67 Domayo anainga anatoka Mahundi.

66 Zana, Bocco,Kotei anacheza rafu kwa Chirwa anaonyeshwa kadi ya njano.
65 Simba wanacheza free kick 64 Boco anacheza ujanja kwa Yakubu,Sure boy anachezewa faulo na Kotei, Sure boy.

62 Kagere Offside, Muda, NgiomaWawa anakaa vizuri Wawa anachezewa faulo na Chirwa.

61 Zana anamwaga maji mpira unaytolewa nje, Okwi,Wadaa anatoa nje.

60 Abarola anaanzisha mashambulizi

59 Moris, Chama, Yakub,Sure boy,, Kangwa,Abarola, Boco anachezewa rafu
58 Manula, Wawa, Yakubu anaanua
57 Kona, Okwi wanapoteza, Chirwa anapoteza.

56 Manula anaunyaka ukiwa nje ni kona, Okwi, Bukaba
Zimbwe.

55 Kagere anapaisha mpira wa Zana

53, Abarola, Mahundi anarusha, Bukaba anatoa nje, Sure, Wadada, Ngoma, Chirwa inakuwa ndefu.

52, Bocco, Chama, Zimbwe, Bocco, Mudathir ,Bukaba, Chirwa chini.

51 Mkude, Zimbwe,Wawa, KangwaAtta, Wawaanampiga kiwiko Atta.

50 Zana,anaokoa kwa kutoa nje.
  49 Okwi anacheza rau, Atta Zana 48, Ngoma anatoa nje, Bukaba, Kagere amekaa chini baada ya kupigwa na Mois.

47 Manula Sure boy, Wawa anatoa nje ManulaWadada. Manula
46 Zimbwe,Abarola, Moris, Manula. 45. Ngomaanapaisha mawinguni

45 Mabadiliko kwa Azam FC Kipindi cha pili Kutinyo nje Ngoma
Singano nje Ennock Atta.

Mapumziko kwa sasa

Dakika ya 45+2 Okwi, Zana, Okwi anamuondoa kwenye njia.

Singano faulo Dakika ya 45+1 Yakub anapaisha mira mawinguni.
Dakika 45 zinakamilika zinaongezwa 2

45 Bukaba anamchezea rafu Chirwa anaonyeshwa kadi ya njano.

44 Okwi anaachia majalo yanatolewa nje inakuwa kona, Chama inaanukiwa, Chama, Mkude, Zana Abarola anainyaka.

43Okwi anapoteza, Singano, Mudathiri safari kwa Manula ZanaOkwiZana wanaanua majalo.

42 Bruce , ZanaChama anazidisa ambo anapoteza, kona Simba inapigwa na Chama .

41 Agrey, Yakub, Mahundi, Sure Boy anaondosha Bukaba


40 Mudathiri anazewa rafu, Zana anapotez, Wadada, Mahundi, Chirwa anadhibitiwa mpira wa kurusha Mahundi Zana, Bocco Singano Bukaba, Mahundi anapiga shuti linakwenda nje.

39 Chirwa anapoteza eneo la hatari Manula anaunyaka.

38 Kona Okwi, Zana, Bocco anamalizia kwa kichwa

36 Wawa, Zana, Chama, Bocco anadhibitiwa, Kutinyu, Sure boy, Kutinyo  anacheza faulo

35 Abarola anachezewa rafu na Okwi

34 Chama, Kotei,Chama, Zimbwe, Chama, Okwi,Chama Kagere mpira unatoka nje.

31 Chirwa anaachia shuti Manula anainyaka, Chama, Muda anazuia, Singano, Kutinyo, Singano, Kangwa, Mudathir, Moris, Wadada, Yakub,Kutinyu, Chirwa Chama anadhibiti, Muda Sure boy anaacha shuti linagonga mwamba.

30 Bukaba anaporwa mpira eneo la hatari, Manula anaokoa Kagere anacheza faulo

29 Bukaba anatoa nje, anarusha Wadada Tafadzwa anamcheza faulo Zimbwe 28 Kangwa,anadhibitiwa na Wawa, Mkude, Wawa Okwi anachezewa faulo.

27 Wadada anajaribu mpira unapiga nyavu za nje.

26 Sure boy anamchezea rafu Wawa.

25 Mahundi anapiga kona, Kagere Chama, Zimbwe , Kagere anacheza faulo.

Dakika 24 Wadada, Sure boy, Chirwa anapisha mpira mawinguni.

Dakika ya 23, Singano, Wadada Wawa anakaa vizuri.

Dakika ya 22 Simba wanapata kona baada ya Zana kumwaga maji marefu katikati eneo la Abarola, Okwi anapiga kona fupi, Okwi anapasisha mpira Mawinguni.

Dakika ya 21 Kutinyu anapiga shuti linaishia kwa manula.

Dakika ya 20 zimekatika kwa sasa huku mshambuliaji wa Azam FC akiwa amefanya jaribio moja ambalo limepaa mawinguni.

MEDDIE Kagere dakika ya nne anafunga bao la kichwa baada ya Emannuel Okwi kuoiga shuti lililogonga mwamba kisha Kagere akakutana nalo na kumalizia kwa kichwa.

Ushindani ni mkubwa huku kila timu ikitafuta matokeo ili kupata pointi tatu muhimu.

Mashabiki ni wengi waliojitokeza uwanja wa Mkapa kushuhudia ushindani uliopo.

10 COMMENTS:

  1. Refarii Ana Mapungufu Anaibeba Azam

    ReplyDelete
  2. Beki Za Simba Zina Fanya Makosa Bukaba Hajafiti Labda Mlipili Acheze Badala Yake Halafu Mpira Haukai Mbele Bocco Kapoa Sana

    ReplyDelete
  3. Kazi Nzuri Zana Coulibaly Safii Bocco 22 Walijua Watacheza Na Simba B Nasikia Hawajawahi Funguna Zaidi Ya Goal 2 Leo Zita Zidi

    ReplyDelete
  4. hii ni simba nyingine kabisa haifananishwi

    ReplyDelete
  5. Jamani Shuti La Chama Vipi Lilivuka Mustali Au Golikipa Ililiwahi Mmeonaje Wadau Wa Blog Hii ?

    ReplyDelete
  6. Amkeni waungwana, mnyama ananguruma nyuma ya nyumba

    ReplyDelete
  7. Yanga bado inaizidi Simba point 16 tu .Ingawa Simba INA viporo 7..Yanga inaizidi Simba mabao manne tu ya kufunga.Na Imefungwa zaidi magoli 11!

    ReplyDelete
  8. Simba ni Simba tu. Na itabaki kuwa Simba. Tuna"Count-down" tu.

    Rambaramba walitarajia kuifunga Simba kama walivyofanya Mapinduzi. Hawakujua kuwa Simba ni moja ila ina vikosi zaidi ya kimoja. Level ya Azam ni sawa na ile ya kikosi cha Simba walichocheza nacho Mapinduzi, na sio kikosi hiki cha jana. Yaani Azam walifichwa kama tulikuwa tunacheza na timu ya daraja la 3!, kuna wakati hadi nikawa nawaonea huruma wachezaji wao. Ila inabidi watusamehe tu, lengo letu sio baya kwao, ila lengo letu ni kukusanya point zetu tu. Ila watusamehe kwa kuwaadhibu kwa bakora nyingi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic