Kagera Sugar iliyo chini ya kocha, Mecky Maxime wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kutoka suluhu mchezo wao uliopita dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa Uhuru.
Ruvu Shooting wao wana kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao mbele ya Mbao FC kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa CCM Kirumba.
Mtihani wao leo ni kuona nani atafabikiwa kubeba pointi tatu kutokana na michezo yao ya nyuma kutowapa matokeo chanya.
Kwenye Uwanja wa Mabatini ambao Ruvu Shooting wamepania kuuboresha zaidi msimu ujao uwe kwenye muonekano bora zaidi nyasi ziumia leo jioni saa 10:00.
Kagera Sugar wapo nafasi ya 17 wakiwa na pointi 29 baada ya kucheza michezo 25 na Ruvu Shooting wapo nafasi ya 13 baada ya kucheza michezo 27 wakiwa na pointi 30.

0 COMMENTS:
Post a Comment