SIMBA WAAMUA KUWASHA MOTO, WAJA NA TAMKO LA ZITO KUHUSU CAF
Na Haji S Manara
Bila kujali matokeo mabaya na ya kuumiza tuliyoyapata Kinshasa na Alexandria, bado tunayo nafasi ya kufuzu kwenye robo fainali ya ligi tunayocheza Mabingwa watupu.
Yes ni lazima tushinde mechi zetu mbili za nyumbani na uwezo huo tunao.
Na tukijipanga kisha tukawa wamoja kuanzia kwa wachezaji, benchi, uongozi, wanachama na washabiki wetu nina hakika tutafanikiwa Inshaallah.
Yes We Can
And save the date 16/2:2019
Kuonge si kutenda, mjipange kweli. Mkifanya masihala taifa mtatoka kwa FFU.
ReplyDeleteHakuna lolote hii imeshvurugika mashabiki hawana moral tena a kuisapoti timu yao na hawawezi kulaumiwa kwani kwenye mechi mbili za ugenini timu imeonesha ushaifu mkubwa kabisa wa kukosa nguvu ya kupambana licha donge nono wanaloahidiwa. Mashabiki hawana imani tena na kocha wao wakati wa viongozi kufahamu hilo.
ReplyDelete