February 6, 2019

5 COMMENTS:

  1. Mo kuna watu wanamuangausha pale Simba na asiposhtuka mapema basi atafeli. Wachezaji ni wavivu kama ilivyo baadhi ya watendaji wa Simba vile vile. Sifikirii suala la kocha msaidizi lina ugumu gani kupatikana.Mwnzo wa mashindano tulishauri ikiwezekana kocha wa Simba atafutiwe washauri wa kumshauri hasa kuelekea mashindano ya klabu bingwa Africa kwani simbab ina hazina kubwa ya wachezaji waataafu ndani na nje ya nchi wenye uzoefu makubwa na mashinda ya Africa. Lakini utaona bado kocha anaendelea kuwa hana msaidizi au kama ana wasaidizi basi hawana vigezo. Tuwe wa kweli kabisa Simba kocha timu inaonekana kumshinda na hajui afanye nini hivi sasa. Ukiniambia kocha atakuja na mbinu mbadala kwenye mechi ya maruduano na Ahly nasema sio rahisi hata kidogo isipokuwa hapana shaka yoyote ni Ahly ndio watakaokuja na mbinu mbadala wa kuimaliza nyumbani hasa ukitilia maanani yakwamba tayari Ahly wameshatuma watu Dareslaam na hivi wapo nchini. Kama alivyosema kocha wa yanga Zahera yakwamba Simba walifungwa goli tano na As vita wamerudi Dar hawakufanya technical amendment yeyote kwenye timu wamechukuwa ndege kwenda Misri wakiwa bado na ugonjwa uliowafanya wafungwe goli tano kule Congo na matokeo yake timu ilivuna ilichokipanda. Kocha anahitaji msaidizi hasa katika masuala ya ulinzi. Diffence ya simba bado ni ya hovyo. Holding Midfielder ya Simba imekufa haipo kabisa sasa sisi hatutaacha kutoa maoni hata kama wahusika hawajali kazi yetu ni kuwasilisha ujumbe .

    ReplyDelete
  2. Timu zetu hazina mipango ya muda mrefu tuna mipango ya muda mfupi na tunataka mafanikio ya halaka na ndo maana mwisho wa siku tunafel na tulaumiana.maoni yangu mm tuwe na mipango ya muda mrefu hapo inaweza ikatusaidi kupata tunacho kupata mfano simba inatakiwa kusajili timu nzima ya vijana wenye umri Mdogo wanao cheza ligi kuu na kuwa weka kambi zaid ya miaka 2 au mitatu na kupata timu hatali San na kujazia baadhi ya wachezaji tu hapo kwanza umetengeneza munganiko mzuri

    ReplyDelete
  3. hakuna timu ya mo, mo ana asilimia 49 acheni umbumbu hata mambo ya hisa hamyajui

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic