March 20, 2019


RATIBA YA SIMBA MECHI ZOTE ZILIZOSALIA
31/03/2019 Simba vs Mbao - Dsm
 03/04/2019 Simba vs JKT Ruvu - Dsm
06/04/2019 KMC vs Simba - Dsm
09/04/2019 Simba vs Biashara - Dsm
 12/04/2019 Simba vs Mtibwa - Dsm

Timu itakwenda mikoani kuvifuata vigongo hivi


15/04/2019 Coastal vs Simba - Tanga 
19/04/2019 Kagera vs Simba - Kagera
22/04/2019 Alliance vs Simba - Mwanza
25/04/2019 Biashara vs Simba - Mara
30/04/2019 Prisons vs Simba - Mbeya
03/05/2019 Mbeya city vs Simba - Mbeya

Timu inarudi Dsm 

06/05/2019 Simba vs Coastal - Dsm
09/05/2019 Simba vs Kagera - Dsm
12/05/2019 Simba vs Azam - Dsm
18/05/2019 Simba vs Ndanda - Dsm

Timu itawafuata hawa Mkoani


 22/05/2019 Singida United vs Simba - Singida
26/05/2019 Mtibwa vs Simba - Morogoro

6 COMMENTS:

  1. Hiyo ratiba mbona inamapungufu,maana simba na jkt ruvu wameshamalizana,coast tulishacheza nao tanga.hii yakuwafwata tena tanga ipoje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mapungufu mengine Mechi za Simba Dar sasa kuhamia Moro kupisha marekebisho/mashindano ya kwa Mkapa Afcon under 17, Mechi ya Simba na KMC tarehe 6 Aprili haitakuwepo, kwani siku hiyo wanatakiwa kucheza Quarter final CAF Champions

      Delete
  2. Coastal Union hajaccheza na Simba hata mechi moja. Tanga Simba ilicheza na JKT Tz.Ratiba iko sawa but naamini itapanguliwa tena baada ya Simba kuvuka hatua ya makundi CAF CL

    ReplyDelete
  3. Hizo mechi za tarehe 3, 4 na 12 hazipo, zinazo bakia hazina shida sana.

    ReplyDelete
  4. Hapa ninachokijua Simba itacheza na mbao trh 31 halafu itajiandaa na Tp mazembe, hii ni kutokana na Tff kutoamini vilabu vyetu wao walijua Simba ama mtibwa hawatafika mbali ndo maana unaona ratiba wameipanga mpaka tarehe za Caf, utajua mapungufu ya uendeshaji wa ligi yetu. baada ya ligi kuisha kiukweli wachezaji watakuwa wamechoka sana kwakweli, cha kushangaza Simba ikapenya hapo ndo utaona ligi inaisha simba inaviporo kwa ratiba hii je viporo vya 03/04/2019 Simba vs JKT Ruvu - Dsm
    06/04/2019 KMC vs Simba - Dsm watavipangia lini hapa sasa simba itacheza ligi baada ya siku moja au mbili hakuna namna sasa. Waendeshaji wa ligi mpooooooo simba imewaumbua sasa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic