TFF YATOA TAMKO KALI JUU YA MANENO ALIYOLISHWA MBWANA SAMATTA Shirikisho la Soka Tanzania Bara (TFF) limesema kuwa Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, hajazungumza chochote kuelekea mechi ya Stars na Uganda, Machi 24, 2019.
0 COMMENTS:
Post a Comment