NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Smatta anayekipiga kwa sasa timu ya KRC Genk ya Ubelgij ameomba Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) imuangalia mchezaji wa Simba, Shomari Kapombe.
Kapombe amekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kuumia mguu alipokuwa akiitumikai timu ya Taifa ya Tanzania ilipokuwa Afrika Kusiniwakati timu ikijiandaa na mchezo wa kuivaa Lesotho kwenye hatua ya kufuzu Afcon 2019.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mbwana Samatta ameandika namna hii " Shomari Kapombe, kama Captain ningeomba TFF imuangalie katika zawadi ambazo wachezaji watapata, ikishindikana basi ningeomba wachezaji wote tumchangie kdg kdg na endapo vyote visipowezekana kbsa basi katika ahadi yangu ya mh Paul Makonda, nitagawana nae nusu kwa nusu," amesema Samatta.

Hasa kwakuwa ameyapata majaraha hayo wakati alipokuwa anaitumikia timu ya taifa
ReplyDeleteKatika suala kama hili hivyo TFF wanasubiri mpaka kuambiwa?
ReplyDeleteNzuri hiyo Captain! Naomba uwaombee hata wachezaji wale wa zamani waliocheza mechi dhidi ya Zambia. Football Ni teamwork na hii itasaidia kuwapa moyo wachezaji bila kujali nafasi anayocheza. Nadhani Mheshimiwa Raisi akishauriwa atasikiliza, wapo wengi, Kama vile Pondamali, Adolph Rishard, Mogela, n.k. Captain huo Ni ushauri watu!
ReplyDeleteNzuri hiyo Captain! Nashauri uwaombee na wale wachezaji waliocheza mechi dhidi ya Zambia nao wapate zawadi Kama mwenzao Peter Tino. Ili I've Ni hamasa kwa wachezaji wote wanaocheza bila kujali nafasi, football Ni teamwork, naamini mkuu wa nchi akishauriwa atasikiliza na kuwazawadia Kama timu badala ya kumpa ntu mmoja. Maana wapo wengi; Mogela, Pondamali, Adolph Rishard, n.k. Hilo Ni wazo langu kwa Captain Samata naomba Saleh Jembe mlifikishe kwake hata kwa TFF wanayo nafasi ya kumshauri Mkuu wa nchi. Asanteni.
ReplyDeleteNi kweli iwapo zawadi itakuwa ikiangaliwa kwa wafungaji pekee kama alivyopewa peter tino itawavunja nguvu wachezaji wengine. Mfano african sports ya tanga iliwahi kutwaa ubingwa na mchezaji victor mkanwa alipozadiwa zawadi ya ufungaji bora aliwatambia sana wachezaji wenzake . kilichofuatia msimu uliofuata kila alipokuwa katika nafasi ya kufunga hakupewa pasi na mpira kurudishwa nyuma , matokeo yake mwaka huo timu ilishuka daraja. Fundisho timu inapokuwa na mafanikio zawadi itakayotolewa igawannywe sawa kwa wachezaji wote
ReplyDeleteOmbi langu kwa hii blog Ni kufikisha ujumbe huu kwa wahusika, Kama vile TFF waweze kutufikishia kwa Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano, hakuna kinachoshindikana kwake!
ReplyDelete