March 20, 2019

3 COMMENTS:

  1. Uvivu gani huo unaowatolea waamuzi. Kwani hujui kuwa Mnyama yupo juu katika list ya timu bora za Africa au ulipata tamaa pale ulipoona nyota wake tegemeo karibu wote hawako lakini lazima ufahamu kuwa mtoto wa simba ni simba vilevile na ndipo ulipoyaona matokeo.

    ReplyDelete
  2. Mie nawashangaa sana makocha wetu wa vilabu vya Tanzania...kila wakishindwa mechi za Simba, Yanga wanakimbilia kulaumu marefarii. Hawaangalii masuala ya ufundi ya wachezaji wao...hawaangalii statics za mchezo jinsi walivyocheza ambazo ni electronically ...hawaangalii marejesho ya kipindi cha "kipenga chetu"kinachoendeshwa na Mussa Kawambwa, Othman kazi na marefarii waalikwa...Sijui na mechi alizocheza Simba na AS Vita au against Al Ahly nazo Simba alibebwa na marefarii?Ni hatari sana kwa afya la soka letu kuwaamanisha wachezaji wetu kuwa kila wakicheza na Simba , Yanga na hata Azam kuwa refa atawabeba.Huu ni uzembe wa hali ya juu wa makocha wetu kutanguliza silaha ya lawama kwa marefa.Sikatai kuwa kuna wakati marefa wanaboronga lkn sio kwa extent iliyopitiliza kihivyo.Makocha wetu wazawa zingatieni kwanza technical issues, lalamikieni viwanja bora kabla hamjawarukia marefarii.Unakuta hadi mashabiki wanajifanya wanajua kutafisiri sheria lkn kwangu binafsi nashukuru kuwepo kwa kipindi cha 'kipenga"kinachoendeshwa na Azam TV. Waacheni marefarii wafanye kazi yao waliofundishwa ya kuchezesha kwa kuzingatia hizo sheria 17.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic