WINGU ZITO LATANDA YANGA, DAKTARI WA TIMU AFIWA NA BABA YAKE
Daktari wa timu ya Yanga, Edward Bavu amefiwa na baba yake mazazi katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Tayari daktari huyo ameshaondoka mjini Iringa alikokuwa na kikosi cha Yanga kwa ajili ya mechi na Lipuli na sasa ameshaanza safari kuelekea Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza taratibu za mazishi.
Sasa inakuwaje timu inacheza bila ya daktari??? Inabidi waliaangalie hili msiivuruge plani za ushindi
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteIringa hatoki .Na daktari bila daktari lazima aache pointi 3.
ReplyDeleteYanga mjiandae kikwelikweli Lipuli wamepewa pesa na mkuu wa wilaya ya Kilolo mh. Asia Mohammed ili iifunge Yanga. Yanga Mnabidi muongeze nguvu maradufu kupata ushindi
ReplyDeletePole mwanafamilia
ReplyDeleteI must say, I thought this was a pretty interesting read when it comes to this topic. Liked the material. . . . . play free slots online
ReplyDelete