UWANJA wa Mkapa
Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali
Kipindi cha kwanza
Mapumziko
Zimeongezwa dakika 2
Yanga 0-0 Rivers United
Dakika ya 44 Rivers United wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 42 Rivers United wanafanya jaribio ndanibya 18 linalenga nje ya lango
Dakika ya 37 Moloko anapiga kona inaokolewa na Rivers United
Dakika ya 35 Makambo anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 30 Yacouba anapiga of target ya pili kwa pasi safi ya Feisal Salum
Dakika ya 22 Moloko anaotea
Dakika ya 20 Adeyum anapiga faulo inakuwa ni off target
Dakika ya 19 Fei Toto anachezewa faulo na nyota wa Rivers United
Dakika ya 17 Mauya anamchezea faulo nahodha wa Rivers United na anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 16 Kibwana anapewa jukumu la kupeleka mashambulizi Rivers United
Dakika ya 14 Makambo anapeleka kwa Kibwana Shomari
Dakika ya 12 Yanga wanapiga kona ya pili haileti matunda kwa Yanga
Dakika ya 10 Rivers United wanapeleka mashambulizi Yanga yanaokolewa na Diarra Djigui
Dakika ya 9 Mauya anapeleka maji Rivers United yanaokolewa
Dakika ya 7 Yanga wanafanya jaribio linaokolewa na beki
Dakika ya 4 Adeyum anapewa huduma ya kwanza.
Dakika ya 2 Mauya anafanya jaribio halileti matunda kwa Yanga
Pole utopolo, mjifunze kuwaheshimu wanaopambana, mlizidi makelele kwa wageni
ReplyDeleteKhaji Manara atajua hajui kuwa porojo sio msingi wa maendeleo.
DeleteGundu la KHAJI MANARA linaendeela kuwatesa Yanga.👺
Deleteheeeee! tuombeane dua
ReplyDeleteMpira ni investment ya maana pesa siokelele
ReplyDeleteWananchi hawakufata walioambiwa kuwa tunataka magoli mengi sana kurahisisha mechi za huko Gana lakini hawakusikia. Sasa iliobaki ni kupinduwa meza huko kwao. Maneo mengi ndio yanayochafuwa kila kitu
ReplyDeletekatika mechi ya wenzenu anaingia paka mmoja mweusi..halafu wakishinda eti wachawi...mmeingiza kunguru wawili weusi na mmeshindwa kushinda! ndiyo mtajua hamjui..Muda ulikuwepo hivyo sababu ya timu kutozoeana haina mshiko...wala ile ya kuklsa ITC za Djuma Aucho na Mayele.?Poleni jipangeni upya.
ReplyDeleteKunguru wawili weusi wameshinda kwenye lango la Rivers! hatutaki kusikia hadithi ya paka weusi.Mkome kunguru weusi nyie!
ReplyDeleteHahahaa, kikosi cha kuangamiza Rivers. Ni matokeo ya majisifu na Kejeli nyingi za Fulani
ReplyDeleteAibu kweli yaani munapigwa kwenu .mukibebwa mujikaze leo simba kafanya tumepata timu 4 kesha mujisifu yanga ya kimataifa .muwakejeli simba kwenye mitandao yote na kuwaona si lolote si chochote mpira si midomo kama manara .sisi simba tunasema kwa mañana hatoki mtu hata iwe vipi kufa kupona .haya kapindueni meza
ReplyDeleteUtoplios hawana ubavu wa kupindua meza....ndio wameshaaga mashindano...ni aibu
Deletekwemaaaa
ReplyDeleteMwacheni Manara, mbona mlisema hamjali kumbe limewauma sana! Nilisubiri kujithibitishia hili.
ReplyDeleteKikosi cha makombe yote kitachoirejesha yanga katika enzi zake, ndivo wanavosema. Hawajiwekei akiba katika maneno yao, wanatukana na kukebehi na kukebehi ikifika jioni chali. Hawanna wa kuwakataza
ReplyDeletenawasalimu kwa jina la jamhuri ya wananchi,
ReplyDelete"MOSES OMODUMUKE abarikiwe"...
Tumepoteza kwa sababu wachezaji wetu watatu tegemeo wameharimishwa kucheza. Sisi tunataka tufike mbali sana pamoja na kuchukuwa ubingwa. Ulimi mwingi unaponza
ReplyDeleteNa wale mliowapa corona fake nao wasemeje?tena wale key players ndio mkaona muwape corona,sasa subirin mfike nigeria muone kama na nyie hamtapewa corona first 11 yote na mechi lazima ichezwe.kila mla cha mwenzie na chake lazima kiliwe,mungu hataki zambi mmefungwa vivyo hivyo jumlisha na laana za aliyewabeba alafu hamtaki kuwashimu,YANGA tambua kwamba unapaswa kumuheshimu aliyekufanya ukafika hapo ulipo,kama sio simba usingecheza kimataifa ila tambua pia kama sio laana ungeshinda jana,utaendelea kuteseka sana bado.
DeleteMuda utasema.. kwani si makolo wametolewa jasho na Fountain Gate au nakosea?
ReplyDeleteJidanganyeni tu.. kocha anawachezesha wachezaji wapya ili wazoee mfumo wa Simba! Subiria First eleven ndio mtajua hamjui
DeleteTumejiinamia kwa misiba miwili, kuondokwa kwa kipebzi wetu Hans Pop, Mungu ampe malazi mema na hili janga la kufungwa na wanaijiria tena nyumbani
ReplyDeleteThe Return of UTOPOLIONS
ReplyDeleteWakudaka mishale vipi mbona mpira hauoni
ReplyDelete