September 9, 2021




HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa hajawahi kuwa Simba zaidi yeye alikuwa Yanga katika maisha yake yote.


Kwa sasa Manara ni Ofisa Habari wa Yanga ambapo aliibuka huko muda mfupi baada ya kubwaga manyanga ndani ya Klabu ya Simba na huko alikuwa ni Ofisa Habari alidumu kwa muda wa miaka 6.


Manara amesema:"Nazungumzia fact, mimi sijawahi kuwa Simba na mimi sio Simba zaidi mimi ni Yanga.


"Moja ya kazi kubwa niliyoifanya labda ni kuonesha ukubwa feki hiyo dhambi niliitendea vibaya sana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nipo tayari kuhukumiwa hata gerezani kwa kufanya ulaghai wa kufix ukubwa ambao haupo.


Haji ameongeza kuwa Yanga ndio klabu yenye mataji mengi zaidi vinginevyo ni uongo ambao yeye mwenyewe hapo nyuma alishiriki kuupika.


Chanzo: E FM



24 COMMENTS:

  1. Huyu bwana anajidhalilisha, bora angeachana na ishu za simba akakomaa na huko alikohamia japo nao wawe makini nae maana ameonyesha haaminiki zaidi ya kusaka hela tuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hivyo Manara lile Jina la Msukule ni sahihi kabisa kwakuwa yeye mwenyewe hajielewi ni nani? Na Barbara wanasimba wasipomwagia maua siku ya Sumba day basi kutakuwa na tatizo kwa mashabiki wa Simba kushindwa kutambua wa mchango wa kipekee wa kujitolea kutoka kwa Mama jasiri aliewaondolea kirusi ndani ya timu yao pendwa.Kuhusu Yanga sawa na makalio hata uyasifie vipi kunuka ndio asili yake.

      Delete
  2. Sasa mnatarajia azungumzie nn kuhusu timu yake wakati haina jipya.... Muacheni atajitekenya mpk atajinyea ndo atakaposhtuka kuwa kumbe anapotoka

    ReplyDelete
  3. Ukubwa uliouonesha ni unafiki hakuna kingine

    ReplyDelete
  4. WENDAWAZIMU fc wanavuopenda kudanganywa hata ukiwaambia msimu uliopita wao ndo walikuwa mabingwa wataamini

    ReplyDelete
  5. Wajibu ili msikie uozo uliopo..��

    ReplyDelete
  6. Yani mpk leo bado roho inamuuma kuondoka Simba.... Duuh kweli SIMBA baba lao

    ReplyDelete
  7. Tunashukuru ila watu wakiachwa utasikia et kibamia,haniridhishi ko tunayazoe tu sema aachane kuisema simba

    ReplyDelete
  8. Milembe Hospital inawahusu Makorokoro Fc Kwanini mnawatukana Wana Yanga wakati anayeongea Ni Haji mna matatizo gani??Mdeal na yeye bt mala wendawazimu yote ya nini hayo?

    ReplyDelete
  9. Wanasadiki kila kitu na wanasadiki kuwa huyo jamaa hajawahi kuwa Simba

    ReplyDelete
  10. Manara kwa sasa ni mchumia tumbo, nafiri kwa sasa anatamani hata asingepitia Simba, nakumbuka msimu uliopita aliwakebehi mabosi wake wa sasa kwa kuwashangaa kuwa inakuwaje hadi sasa kuna zama za utumwa wa kubebwa juu Eng.Hersi ambae sasa ndie boss wake anae mpa mshahara wa kumfanya aweze kuishi. Binafsi ninawashangaa viongozi walewale walioelezwa hayo na sasa anayakanusha kwa staili ambayo kila mwenye akili anaona ni uharo wa mchumia tumbo. Natikiri kwa sasa njaa yake imefikia kiwango cha juu sana, fikiria Yanga wakimtosa atakimbilia wapi?!, Kumbe Simba walikuwa sahihi kumuondowa maana leo amesema mwenyewe kwamba hajawahi kuwa Simba!. Maajabu ya karne ya sayansi 2o21

    ReplyDelete
  11. Nyerere aliwahi kusema kuna watu wanatabia za umalaya malaya .malaya hajui kupenda. anapenda pesa .huyo ndio manara .tabla za umalaya malaya tuu .yanga musifikiri anakupendeni kesho kutwa atakwambieni kuda deki munawazimu mimi simba na nyie munajuwa nimekuja kuja kula hela yenu tu .manara msaani sasa anawakaanga yanga .

    ReplyDelete
  12. Yaan jmani nyie simba mav kunago kweli

    ReplyDelete
  13. Bora ameondoka maana ameihujumu Simba vya kutosha

    ReplyDelete
  14. Kuna jamaa zangu wanayanga wanajiuliza hivi kwa nini Manara amekuja Yanga?anatafuta nini?

    ReplyDelete
  15. Even yanga leaders needed to be carefully with this man very hypocrite with full of rumors don't expect haji will repay you in a good way when you will terminate him or chasing him

    ReplyDelete
  16. Katika watu wasio jitambua wakwanza manara yy anaisi watanzania ni wale wale ndoo maana anatapa tapa kuongea ujinga wake

    ReplyDelete
  17. Manaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Miaka yote hakuwa Simba ila alikuwa wapi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic