April 2, 2019


Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten, ameamua kuwatania watani zake wa jadi kwa kuweka matokeo ya TP Mazembe waliyoshinda dhidi ya Club Africain kwa mabao 8-0.

Ten amewatania watani zake Simba ambao watashuka dimbani wikiendi hii kucheza na miamba hiyo ya soka kutoka Congo kwenye Ligi ya Mabingwa Africa.

Hiki hapa alichoandika Ten


15 COMMENTS:

  1. zilianza 5-0, 5-0, 2-0 sasa ni 0-0 au kufunga

    ReplyDelete
  2. Hata pindi Simba iatolewa basi hapo walipofika ni pakubwa. Nyinyi badala ya kunyanyua uwezo wa timu yenu inayokumbwa na kila aina ya mikosi, mmejizatiti
    kuitakia maovu Simba ambayo inapigania sharafu ya nchi yetu na hilo ndio sababu tosha ya kuanguka kwenu

    ReplyDelete
  3. Huyo mlugakuga bädda y kufikiria michango ya timu yake anangojea Zahera amfanyie kila kitu.Popoma.

    ReplyDelete
  4. binadamu ana akili ya kujifunza kutokana na experience..Ten alianza hivyo kwa NKana, badaaye Al Ahly na AS Vita..Lakini kila ambacho moyo wake unitamani hakitokei...Basi si ujue na hili halitatokea!

    ReplyDelete
  5. Simba imeshavuka malengo ya kutinga makundi. Wewe na yanga yako lile lengo la kutwaa ubingwa tu linaelekea kutotimia. Utasubiri sana

    ReplyDelete
  6. Dismas! Ucjali wanasema nn fuata unachokiamin, leo wanataka uiombee simba mema lkn wamesahau yule wa kwao aliyekuwa tayar kulishanglia jiwe wkt yanga anacheza na USM alger!!! tunajisahaulisha haraka sana cc watz

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ten anasahau USM Alger aliifunga Yanga ndani na nje!Hata Gor Mahia iliifunga Yanga ndani na nje!Hivi karibuni tu

      Delete
    2. Sikiliza wewe Ndezi hakuna mtu anataka kushangiliwa na yanga sana sana tunajaribu kuwaweka sawa kila mnapoona ndo kimbilio lenyu panakuwa siyo ...Nategemea kusia kitu pale tunapotinga fainali na kunyanyua kwapa...Msijisahaulishe Simba ni Bora kati ya team 8 Afrika kwa DUNIANI....

      Delete
  7. Kwa hiyo mmoja akifanya kosa basi na wewe unataka asahihishe kwa kosa.Mimi ni Yanga lakini kushabikia timu ya nje sishangilii hata kidogo. Lakini sishangilii Simba lakini siwaombei mabaya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una busara ya kukaa bubu yote bora. Tanzania kwanza. Timu ya Simba kwa sasa ndiye mwakilishi wetu.

      Delete
  8. Kitu ambacho huwa nafurahi ni kuwabadili majina na uhalisia wao usishangae jumamosi akasema hawakuja mazembe Bali ni wacheza show wa koffie

    ReplyDelete
  9. Masikimi roho yake. Ajaribu kwanza kuzuwia wachezaji wao ambao wanataka kuikimbia timu yao kutokana na njaa halfu ndoo aiapize Simba na huku ati akicheka ana raha gani ya kucheka wewe cheka na Zahera akijimiza anaetaka kiondoka aondoke eti watatumia mabilioni kuleta kikosi kipya HAHAAA wnachekesha kweli

    ReplyDelete
  10. Walishaona utamu wa mabilioni?Walikuwa wanacheka kikosi cha uturuki ....cha billion 1..Sasa wanatembeza kopo kukusanya bil 1.5 za usajiluli...Je wanajua kikosi kilichosajiliwa kwa bilioni bado mishahara yake ni bilioni

    ReplyDelete
  11. Simba akichukua champions league najiua, shinden moja taifa mkapokee zle za kawaida ugenini, then matusi hayatawasaidia kitu pale mnapojbu maoni ya MTU

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic