April 22, 2019


Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kufa au kupona jijini Mwanza ambapo kesho wekundu hao watakuwa kibaruani wakicheza na Alliance FC.

Simba watakuwa wanashuka dimbani wakiwa na hasira za kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Kagera kwa kufungwa mabao 2-1.

Kuelekea mechi hiyo, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema kuwa wamejiandaa vya kutosha kuelekea mechi hiyo.

Manara ameeleza kuwa kwa namna walivyopoteza dhidi ya Kagera hawatakuwa na cha msalia mtume mbele ya Alliance kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijiini humo.

Tayari kikosi cha Simba kimetua juzi Mwanza kikitokea Bukoba na hali ya kiafya kwa wachezaji wote kiujumla iko sawa.

3 COMMENTS:

  1. Manchester United boss Ole Gunnar Solskjaer has apologised to the club's fans for their abject performance in Sunday's 4-0 loss to Everton.

    United have lost six of their past eight games in all competitions and are sixth in the Premier League.

    "From the first whistle, everything went wrong," Solskjaer told Sky Sports.

    "I just want to apologise to the fans. They're the only people with the badge on today who can hold their head high, because we can't."

    Speaking to Match of the Day, Solskjaer added: "We were beaten on all aspects today and the only place we beat Everton - I can't say we beat them - but we had a fantastic support and I just want to apologise for the performance we turned out."

    Goals from Richarlison, Gylfi Sigurdsson, Lucas Digne and Theo Walcott handed United their biggest defeat of the season in a game where the visitors did not register their first shot on target until the 86th minute.

    United are next in action against local rivals Manchester City on Wednesday.

    "We just didn't perform. That was not worthy of a Manchester United team," said the Norwegian, who was appointed permanent manager in March.

    "That performance is not good enough for a Manchester United team, from me to players, we let the fans down, we let the club down. That performance is difficult to describe because it is so bad.

    "They beat us on all the basics. We were beaten on all the ingredients you need, added to the talent. There is no place you can hide on the pitch.

    "We hold our hands up and apologise to everyone associated with the club. We have a perfect chance to make amends on Wednesday."

    The visitors collectively covered 8km less than Everton during the defeat, but Solskjaer said their decision making was a much as to blame as their lack of running.

    Asked if his players cared, Solskjaer said: "You have got to ask them. I have asked them. Of course if you want to play at this club, it has to be more.

    "I want my team to be the hardest working team in the league, that is what we were under Sir Alex [Ferguson] - [Ryan] Giggs, Becks [David Beckham], Gary Neville, Denis [Irwin] - no matter how much talent you have got, you run more than anyone.

    "You can't change your whole squad. One step at a time. I am going to be successful here and there are players who won't be part of that."

    Meanwhile, Manchester United captain David de Gea said it was "difficult to put into words" what he was feeling after the defeat.

    "As captain, I want to say that the performance of the team today, on top of the result, was not up to the standard expected when you pull on this shirt," he said on Twitter.

    "We know that we have to improve but words mean little: we have to give everything for this club.

    SIMBA ILIPASWA KUOMBA RADHI KWETU WAPENZI WAKE KAMA ALIVYOFANYA MANCHESTER UNITED. SIMBA IMECHEZA CHINI YA KIWANGO NA KUFUNGWA NA KAGERA JUZI NI MAUMIVU SANA KWETU. DAKIKA 45 ZA HAFU YA KWANZA SIMBA HAWAKUPIGA HATA SHUTI MOJA LANGONI MWA KAGERA ILA WANACHEZEA MIPIRA TUUU KUCHENGA BILA FAIDA. UKIULIZA UTAAMBIWA OOOH MPIRA UNA MATOKEO MATATU. MNAUMIZA WATU JAMANI.

    ReplyDelete
  2. Sio siri Simba inaanza kutia kichefuchefu. Simba wameanza kuonesha udhaifu kuanzia mechi ya Coastal union.wachezaji wa Simba siku zote huanza mechi kama vile mtu aliekurupushwa kutoka usingizini.siku zote huwa sio makini kwenye kipindi cha kwanza cha mchezo. Speed na umakini wa hali ya kupambana ya wachezaji wa sumba kwenye hizi mechi mbili walizocheza baada kurudi kutoka club bingwa Africa ni ya kusikitisha kabisa na kama wataendelea na upuuzi huu basi Yanga ana nafasi kubwa ya kuiwakilisha nchi kimataifa mwakani. Simba na wachezaji wajue mechi za ligi kwa upande wa Simba ni ngumu kuliko wanavyofikiria. Kwanza kuna timu zinazopigania kujinasua kushuka daraja ambazo kila mechi kwao ni fainali. Pili kuna jitihada za wachezaji binafsi kutoka timu pinzani ambao hucheza kwa nguvu zao zote ili waonekane na kuwashawishi viongozi wa Simba. Tatu mkono wa Yanga. Yanga wanajua kabisa bila ya Simba kupoteza mechi zao za viporo basi hawana chao. Hakika mabakuli wanayotembeza yanga ya kukusanya michango moja ya dhumuni kubwa ni kwenda kuvitia mikono viporo vya Simba na moja ya mechi ambazo Yanga wana uhakika kufanya hivyo ni mechi ya Kagera na Simba na wamefanikiwa. Kwa upande fulani viongozi wa Simba nao kama wamelala kiasi fulani wanatakiwa kuamka. Ukiangalia Azam sio kwamba wana timu mbaya lakini tayari wameshapoteza mechi kazaa na Simba wasipoamka watashangaa kwani yatawakuta zaidi ya Azam. Simba vita ya ubingwa wasiichukulie poa hata kidogo au wataadhirika. Wachezaji wa Simba lazima waoneshe thamani yao kulinganisha na wachezaji wa timu nyengeine ambao hata nauli ya kuwasafirisha kwenda kituo kingine cha mechi huwa shida.

    ReplyDelete
  3. Wao wanajiamini kupita kiasi timu inatakiwa ijue mechi za mikoani ni ngumu na ndizo zitakazoamua ubingwa mfano,mechi ya prison,mbeya city,kmc,allayanc,ni mechi ngumu sana kwao.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic