FT: Coastal Union 1-2 Simba
Uwanja: Mkwakwani
Gooooal Raizin Hafidh dk ya 01 Coastal Union
Gooooool Kagere dk ya 49 Simba
Goooooool Kagere dk ya 67 Simba
MCHEZO wa ligi kuu kati ya Coastal Union ya Tanga na Simba unaochezwa uwanja wa Mkwakwani kwa sasa umekamilika.
Coastal Union wametangulia kupachika bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh dk ya kwanza baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kujichanganya na mlinda mlango Manula.
Kipindi cha pili dakika ya 49 Meddie Kagere anasawazisha bao kwa mkwaju wa penalti.
Kagere anaandika bao la pili wa Simba dakika ya 67 akimalizia pasi ya Clatous Chama
Hili linakuwa ni bao la sita kwa mlinda mlango Aish Manula kutunguliwa ndani ya ligi kuu.








Na Yanga akiongoza wekeni live...au wao wanachezea Comoro
ReplyDeleteWe komaa ufuatilie matokeo ya timu yako
ReplyDeletewatarudisha na kupata ushindi
ReplyDeleteYANGA ASHALIWA MOJA
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteTFF na waamuzi pia mnajenga imani kwa watanzania kuwa mnawaonea Yanga kwa kukataa magoli yao....ligi ya mwaka huu tutajionea mengi....nadhani katika ligi zote hii ya mwaka huu imetia fora!...kwa madudu....Simba kucheza mechi 7 ndani ya siku 17...hata Patrick Aussems amelizungumzia hili...kwakweli tunapoelekea kama nchi si pazuri....si ajabu hata Serengeti Boys kutolewa....yaani laana inaitafuna TFF.....
ReplyDelete