April 17, 2019


FT: Coastal Union 1-2 Simba
Uwanja: Mkwakwani

Gooooal Raizin Hafidh dk ya 01 Coastal Union
Gooooool Kagere dk ya 49 Simba
Goooooool Kagere dk ya 67 Simba


MCHEZO wa ligi kuu kati ya Coastal Union ya Tanga na Simba unaochezwa uwanja wa Mkwakwani kwa sasa umekamilika.

Coastal Union wametangulia kupachika bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh dk ya kwanza baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kujichanganya na mlinda mlango Manula.

Kipindi cha pili dakika ya 49 Meddie Kagere anasawazisha bao kwa mkwaju wa penalti.

Kagere anaandika bao la pili wa Simba dakika ya 67 akimalizia pasi ya Clatous Chama

Hili linakuwa ni bao la sita kwa mlinda mlango Aish Manula kutunguliwa ndani ya ligi kuu. 

6 COMMENTS:

  1. Na Yanga akiongoza wekeni live...au wao wanachezea Comoro

    ReplyDelete
  2. We komaa ufuatilie matokeo ya timu yako

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. TFF na waamuzi pia mnajenga imani kwa watanzania kuwa mnawaonea Yanga kwa kukataa magoli yao....ligi ya mwaka huu tutajionea mengi....nadhani katika ligi zote hii ya mwaka huu imetia fora!...kwa madudu....Simba kucheza mechi 7 ndani ya siku 17...hata Patrick Aussems amelizungumzia hili...kwakweli tunapoelekea kama nchi si pazuri....si ajabu hata Serengeti Boys kutolewa....yaani laana inaitafuna TFF.....

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic