Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kutokana na kitendo cha wachezaji Yanga kumzonga Mwamuzi aliyechezesha mechi yao dhidi ya Mtibwa Sugar.
Home
»
Kitaifa
» MANARA AKEMEA VIKALI WACHEZAJI YANGA KUMZONGA MWAMUZI 'KUNA SIKU WATACHOMWA BISIBISI'
April 18, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Acha zako wewe takataka. Kwani wewe ni msemaji ya tff?
ReplyDeleteMwachen aongee maana asipoisemea yanga umaarufu wake utashuka
ReplyDeleteSijuwi kwanini TFF imekuwa kimya na kumnyamazia kimya huku akiendelea kuizulia Tff ma marefa kwa kila aina ya uwongo
ReplyDeleteKweli. kitendo walichokifanya Wachezaji wa Yanga si cha kiuanamichezo.
ReplyDeleteWamezoea walimpiga refa mechi nä Prisons hakuna hatua zilizochukuliwa.Wakifungwa hujuma.Wakishinda kocha anaongea kilingala.
ReplyDelete