April 15, 2019


Niwajuze Watanzania kdogo,

Kufuatia kufanya vzuri msimu huu Simba imeipatia Tanzania nafasi nne za kushiriki michuano inayoandaliwa na Shirikisho la Soka barani Afrika msimu wa mwaka 2020.

Usiulize kwa nino sio msimu wa 2019, kanuni inasema nchi itakayofikia Points 12 katika msimu kama huu tunaoukaribia kuumaliza,basi msimu wa pili baada ya kwisha ule ulioifikisha nchi yenu.

Points 12 zilizotokana na kufanya vema kwa klabu zenu basi itapata fursa ya kuwa na vilabu vinne ktk CAF competitions msimu unaofuata!!

So watanzania mtambue mafanikio ya Simba ni ya nchi.

Klabu Bingwa Afrika mwakani timu mbili na kombe la Shirikisho la Afrika mwakani timu mbili!!
Haya Wagagagigikoko tushawapa mserereko huo ,mkifungwa fungwa kifala huko Points za nchi zinapungua,tutaanza upyaaaa!!

Na Haji S Manara

14 COMMENTS:

  1. Acha kuwa mshabiki kuwa na taarifa sahih umetaja ninja atakosa mchezo ufuatao una uhakima ama bangi ama umetumwa na simba kuiteta yanga au we we nimtumishi was manara bogaz mkubwa



    ReplyDelete
  2. Yanga walikuwa wanawabeza Sumba..Na ni kwa Sumba watapanda ndege mwakani..Wana kazi kumfunga Lipuli...na akifanikiwa kina kazi zaidi kwa Azam..Asante Simba

    ReplyDelete
  3. Hamna haja ya kuwanufaisha wachawi .Dawa ya mchawi ni kumtenga mpaka aache.

    ReplyDelete
  4. Simba baba yao watakoma wanaoiombea ushudu fyuuuuu

    ReplyDelete
  5. Sasa najua kwa nini Yanga walikuwa hawapendi Simba ifanikiwe maana walijua aibu hii itawajia..bahati mbaya kuikataa nafasi hiyo hawawezi...bora waende tu kwani kuna Hela kushiriki

    ReplyDelete
  6. salehe toa ufafanuzi sahihi usidhani sisi ni mabogaz aisee ebu elezea kilichomo

    ReplyDelete
  7. Acha kudanganya watu, ili kupata timu 4 nilazima timu mbili zinazoenda kwenye CAF inter club kwa 2019/20 ziingie group stage. Otherwise hakuna kitu kama hicho, wanachoangalia ni point za majumuisho

    ReplyDelete
  8. Salehe ni aibu kwa mwandishi kama wewe kuandika habari ambazo sio za kweli, ni aibu sana kuandika kishabiki. Unashusha hadhi yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weka na wewe taarifa yako yenye Weledi. Pinga taarifa kwa taarifa sio maneno matupu

      Delete
  9. Zinazojumlishwa ni matokeo ya 5 past years.
    Mnateseka nini?Hii ni faida kwa taifa bila kujali timu zitazofaidika.
    Ukiteseka Una jambo.

    ReplyDelete
  10. Huo ndio ukweli ..na tunajua kwa Yanga kushiriki kwa kupitia mgongo was Simba inauma zaidi hata kuzidi ile ya kufungwa na Simba...poleni sana...Na ni nafasi nzuri kwa Yanga kuonyesha wao ni wazuri zaidi na hawawezi fungwa double ya 5-0;

    ReplyDelete
  11. Huo ndio ukweli ..na tunajua kwa Yanga kushiriki kwa kupitia mgongo was Simba inauma zaidi hata kuzidi ile ya kufungwa na Simba...poleni sana...Na ni nafasi nzuri kwa Yanga kuonyesha wao ni wazuri zaidi na hawawezi fungwa double ya 5-0;

    ReplyDelete
  12. wao wameshiriki miaka 3 wamevuna point3 myama kashiriki mara 1 kavuna point 15 hapo ndo utaona nani anaujua mpira

    ReplyDelete
  13. Huu ndio mtandao uliiandika Ndemla kafuzu Sweden na ndio mtandao uliiandika Habib Kiombo kafuzu Mamelody Sundowns

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic