Niwajuze Watanzania kdogo,
Kufuatia kufanya vzuri msimu huu Simba imeipatia Tanzania nafasi nne za kushiriki michuano inayoandaliwa na Shirikisho la Soka barani Afrika msimu wa mwaka 2020.
Usiulize kwa nino sio msimu wa 2019, kanuni inasema nchi itakayofikia Points 12 katika msimu kama huu tunaoukaribia kuumaliza,basi msimu wa pili baada ya kwisha ule ulioifikisha nchi yenu.
Points 12 zilizotokana na kufanya vema kwa klabu zenu basi itapata fursa ya kuwa na vilabu vinne ktk CAF competitions msimu unaofuata!!
So watanzania mtambue mafanikio ya Simba ni ya nchi.
Klabu Bingwa Afrika mwakani timu mbili na kombe la Shirikisho la Afrika mwakani timu mbili!!
Haya Wagagagigikoko tushawapa mserereko huo ,mkifungwa fungwa kifala huko Points za nchi zinapungua,tutaanza upyaaaa!!
Na Haji S Manara
Acha kuwa mshabiki kuwa na taarifa sahih umetaja ninja atakosa mchezo ufuatao una uhakima ama bangi ama umetumwa na simba kuiteta yanga au we we nimtumishi was manara bogaz mkubwa
ReplyDeleteYanga walikuwa wanawabeza Sumba..Na ni kwa Sumba watapanda ndege mwakani..Wana kazi kumfunga Lipuli...na akifanikiwa kina kazi zaidi kwa Azam..Asante Simba
ReplyDeleteHamna haja ya kuwanufaisha wachawi .Dawa ya mchawi ni kumtenga mpaka aache.
ReplyDeleteSimba baba yao watakoma wanaoiombea ushudu fyuuuuu
ReplyDeleteSasa najua kwa nini Yanga walikuwa hawapendi Simba ifanikiwe maana walijua aibu hii itawajia..bahati mbaya kuikataa nafasi hiyo hawawezi...bora waende tu kwani kuna Hela kushiriki
ReplyDeletesalehe toa ufafanuzi sahihi usidhani sisi ni mabogaz aisee ebu elezea kilichomo
ReplyDeleteAcha kudanganya watu, ili kupata timu 4 nilazima timu mbili zinazoenda kwenye CAF inter club kwa 2019/20 ziingie group stage. Otherwise hakuna kitu kama hicho, wanachoangalia ni point za majumuisho
ReplyDeleteSalehe ni aibu kwa mwandishi kama wewe kuandika habari ambazo sio za kweli, ni aibu sana kuandika kishabiki. Unashusha hadhi yako
ReplyDeleteWeka na wewe taarifa yako yenye Weledi. Pinga taarifa kwa taarifa sio maneno matupu
DeleteZinazojumlishwa ni matokeo ya 5 past years.
ReplyDeleteMnateseka nini?Hii ni faida kwa taifa bila kujali timu zitazofaidika.
Ukiteseka Una jambo.
Huo ndio ukweli ..na tunajua kwa Yanga kushiriki kwa kupitia mgongo was Simba inauma zaidi hata kuzidi ile ya kufungwa na Simba...poleni sana...Na ni nafasi nzuri kwa Yanga kuonyesha wao ni wazuri zaidi na hawawezi fungwa double ya 5-0;
ReplyDeleteHuo ndio ukweli ..na tunajua kwa Yanga kushiriki kwa kupitia mgongo was Simba inauma zaidi hata kuzidi ile ya kufungwa na Simba...poleni sana...Na ni nafasi nzuri kwa Yanga kuonyesha wao ni wazuri zaidi na hawawezi fungwa double ya 5-0;
ReplyDeletewao wameshiriki miaka 3 wamevuna point3 myama kashiriki mara 1 kavuna point 15 hapo ndo utaona nani anaujua mpira
ReplyDeleteHuu ndio mtandao uliiandika Ndemla kafuzu Sweden na ndio mtandao uliiandika Habib Kiombo kafuzu Mamelody Sundowns
ReplyDelete