April 7, 2019


Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema suala la kukosa penati kwa mchezaji wake, John Bocco dhidi ya TP Mazembe ni jambo la kawaida kabisa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika kuwa watu pekee wasioujua mpira hawawezi kuelewa kwanini Bocco alikosa penati hiyo.



3 COMMENTS:

  1. Umuhimu wa mechi pia huwa unaangaliwa,usifananishe mechi ya Yanga na Ndanda ukalinganisha na umuhimu wa mechi ya Simba Vs TP Mazembe.Sometimes chukua muda kutafakari nini athari ya maoni au majibu rahisi katika hoja ngumu zenye kuchoma moyo kuliko kukurupuka.Haya ndo yale yale ya kule mjengoni Dodoma

    ReplyDelete
  2. Kukosa penalti ni jambo linalotokea. Bocco amefunga penalti kwenye mechi muhimu dhidi ya Nkana na msimu uliopita dhidi ya Al Masry. Akikosa sio mwisho wa dunia. Huwa inatokea kwenye mpira Uwe mechi kubwa,ndogo na hata mechi za kirafiki.

    ReplyDelete
  3. je ni muhimu sana mechi ya simba na mazembe kuliko fainali ya chelsea na man u, nikukumbushe? bas captain JOhn terry alikosa penalt ya mwisho na kombe likawenda man u, bayern munich na chelsea, rooben alikosa ya mwisho na chelsea akatwaa ndoo. sasa wewe usielijua soka endelea kupiga kelele za chura, lakin tunaojua soka wacha tuendelee na kuinjoy maisha ya soka kwan jumamosi pekee wapiga penalt zaidi ya sita ligi mbalimbali walikosa sasa bocco ni nani? asikose?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic