April 30, 2019

1 COMMENTS:

  1. Okwi yupo vizuri huko Afcon kutakuwa na mambo.
    Rashid Juma ni wa kutunzwa na kuekewa mikakati maalum kuhakikisha anakuwa bora zaidi .Simba ina hazina kubwa ya vijana wenye uwezo mkubwa wa soka. Na kwenye hili vugu vugu la usajili la wachezaji wapya ili kuimarisha kikosi ni busara kwa Simba kufanya jitihada zake zote kubakisha na kulikomaza zaidi hili kundi la Wachezaji wake vijana ambao tayari wapo kwenye system ya Simba ikiwezekana waongeze vijana wenye uchu wa mafanikio zaidi kuungana nao.Ila akina Mohamedi
    khusein,Mzamiru,Dilunga Rashid Juma na wengine hii ndio Simba halisi ni kuwajenga zaidi kisaikoloji waje kuwa bora zaidi klabu bingwa Africa mwakani.Hawa vijana nao wanapaswa kutambua kuwa Simba ni sehemu ya kazi na ili uheshimike kazini basi lazima uwe na uwezo wa kuifanya kazi yako kukuheshimu pia. Kama mtu unashindwa kuimudu kazi yako basi mawazo ya kishetani hayatakuishia kichwani,sijui unarogwa,mara sipendwi,sijui wananitenga nakadhalika nakadhalika. Nilipata nafasi ya kusoma mahojiano ya Tishimbi wa Yanga na nadhani gazeti la championi. Anasema alishangazwa sana kuona wachezaji hapa wanafanya mazoezi kwa siku mara moja basi? Sasa ndipo kwenye matatizo makubwa na kufeli kwa wachezaji wa kitanzania kwani wengi ni wavivu na wanakosa taaluma ya mazoezi.Mchezaji wa mpira ili kufanikiwa kuishi na kufarahia maisha ya kazi yake ya mpira basi isitokezee sekunde akajitoa fahamu na kujua yakuwa utimamu wa mwili wake ndio rasilimali yake na silaha yake kubwa . Na anatakiwa kuutunza na kuuweka tayari mwili wake kwa mazoezi ya kutosha muda wote wa maisha yake ya kazi kwani ni kazi ya mpira ni kazi yenye ushindani mkubwa sana na hakuna uchawi. Bali uchawi jitihada ya mtu binafsi kuhakikisha anakuwa bora zaidi kiufanisi ili kuyamudu mazingira yake ya kazi na sio mtu kuzidiwa na mazingira yake ya kazi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic