May 28, 2019


Dereva teksi, Mousa Twaleb (46) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumanne Mei 28, 2019 akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kumteka mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji ‘Mo’.

Twaleb aefikishwa mahakama hapo na kusomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi.

Mo alitekwa na watu wasiojulikana alfajiri ya Oktoba 11, 2018 wakati akifanya mazoezi katika Hoteli ya Colosseum iliyopo jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, alipatikana Oktoba 20 katika eneo la Gymkhana baada ya kudaiwa kutelekezwa na watekaji hao.

Watu 12 walikamatwa na polisi katika tukio hilo wakihusishwa na watekaji. Familia ya Dewji iliahidi kutoa Sh bilioni 1, kwa mtu yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingesaidia

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic