May 17, 2019

4 COMMENTS:

  1. Mimi nilifikiri kuwa Uongozi Mpya umeingia mambo yanaenda kuwa na "afueni" pale Yanga imekuwa tofauti....kwani wachezaji tegemeo wanauzwa....mechi za zikiendelea, sherehe za Michango zinasitishwa na kuahirishwa, Kocha anakimbia/kwenda nje kuuza mchezaji, ahadi hewa na michakato na uongo kila kukislcha....sasa sijui wana nia ipi? Wanayanga hebu jibuni haya maswali kabla chombo "akijaenda mrama"....msipumbazwe, Simba wanafurahia hii hali yenu.....kumekuwa na jitihada za kuwapotosha na kuwahadaa na kuwaridhisha wakati chombo hakiendi sawa.....msilale Yanga amkeni....."wanawapetipeti" kwa lugha za kuwalainisha mitandaoni....lakini ukweli ni kuwa hawana nia ya kuona Yanga inaimarika.....Fanyeni uchunguzi kwani kila maoni ya kupata wachezaji bora, benchi bora la ufundi na mambo mengine ya kuimarisha timu yanapotolewa utaona wanasema msajilini mchezaji fulani (wa bei ya chini kutoka hapa Tanzania tena mwenye kiwango cha kawaida, na ambae anatoka Simba au hata timu nyingine hali kiwango chake hata Simba hafai) ....Yanga kama mnataka maendeleo msikubali kuyumbishwa takeni na himizeni yaliyo juu hasa nikimaanisha usajili wa wachezaji level juu). Pili suala la kubadilisha mfumo wa uendeshaji lazima wawekezaji waanze kutafutwa ndani ya miezi 3....
    Kuna upotoshwaji na nia ya kutaka kuwatoa Yanga "nje ya reli/mstari"....wanachama na mashabiki amkeni sasa hivi mkihoji hivi vitu kabla vitu havijaharibika.....Uongozi huu lazima hukidhi matakwa ya wanayanga kuwa na timu bora....lakini dalili ya mvua ni mawingu.....nina maana kila mtu alifikiri Yanga itafanya usajili bora na kuanza kusuka kikosi bora haraka, lakini hali si hivyo....wanauza wachezaji tegemeo (makambo, nasikia tetesi fei toto yuko njiani pia) bila kureplace hii si dalili nzuri

    Mwisho wa Maoni...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kila wimbo utaimbwa na kila ubeti utaitikiwa na ni sawa na kumpigia mbuzi zeze.Issue sio kuchangishana pesa na ili kusajili wachezaji bali muhimu hapa kunahitajika mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu na bila kufanya hivyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.Pesa zinachangwa ili ununue wachezaji wa maana na kwa bei mbaya kama viongozi wanavyojisifu kuwa watanunua mchezaji yoyote na kwa gharama yoyote lkn sijui mishahara ya hawo wachezaji wataendelea kuchangishana? wanasema wanataka kikosi kipana kama cha Simba au Azam lkn wanajua monthly budget ya Simba/Azam wanawalipaje wachezaji wao?kwa kuendelea kutegemea kuchangishana kweli hata kama tunadai ni timu ya wananchi?hivi kuchangishana kufikisha bilioni moja mnaona ni rahisi kihivyo?Kwa zama hizi kweli kuna mtu or organisation yoyote yuko tayari kuzimwaga pesa zake kwenye michango na harembee kama za arusi? chonde chonde viongozi wapya jihadharini na plani za zima moto.

      Delete
  2. Simba toeni sare michezo yote!Tuone kama gongowazi anaweza funga goli 28

    ReplyDelete
  3. Mwenyekiti msaidizi wa Yanga Mwakalebela amesha declare kuwa wanachukua ubingwa kwani Simba wameshakata upepo.Sasa sijui upepo uliokata ni wa pale kupandisha mlima wa kwao kitonga,Iringa?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic