May 24, 2019


UONGOZI wa Yanga umeamua kuanza kazi kwa vitendo ambapo tayari wameanza kuongeza mikataba ya wachezaji ambao wamekidhidi vigezo kwa ajili ya kuwatumia msimu ujao.

Leo Kiungo fundi wa Yanga, Papy Tshishimbi amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Jangwani.

Tshishimbi msimu huu alianza kwa kuchechemea baada ya  Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera akamchana kwamba hajitumi ndipo alipoongeza juhudi na mpaka sasa ametupia jumla ya mabao 4 ndani ya kikosi cha Yanga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic