May 14, 2019


KOCHA Mkuu waYanga Mwinyi Zahera ammesema kuwa mchezo wa leo utakuwa mgumu kwa timu yake kutokana na aina ya timu anayopambana nayo kuwa na morali kubwa kupata matokeo.

Leo Ruvu Shooting itaikaribisha Yanga uwanja wa Uhuru majira ya saa 10:00.

"Itakuwa na mechi ngumu sana hasa kutokana na aina ya timu ambayo tunacheza nayo, inapambana kushuka daraja hivyo hakuna namna yoyote lazima, tutapambana kutafuta matokeo.

"Tunahitaji pointi tatu ili tuendelee kuwa sehemu nzuri tunahitaji pointi tatu muhimu," amesema Zahera.

Ruvu Shooting ipo nafasi ya 14 baada ya kucheza michezo 35 imejikusanyia pointi 42.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic