May 15, 2019

2 COMMENTS:

  1. This is too much....kila siku kelele....hivi hakuna mtu mwenye ustaarabu hapo Yanga wa kumwambia aache malalamiko mengi akazanie kukisuka kikosi chake??? Its shameful as professional coach to act this way over and over!!!!its despicable and detestable to always hear all of these foolishness from the same person!!

    ReplyDelete
  2. Bro easy easy bro.
    First of all thank you for recognition that Zahera is a profession coach. Twaweza kuwa wajinga wengi sana ila akawepo mtu mmoja mwenye busara na uwenda wewe ndo mwenye busara. Na ustaarabu na busara zako unaona kila kitu kinaenda sawa katika mpira wetu, wakati hata your couach anasema wachezaji wake wanafungwa kwa sababu wamechoka. Akizoea jinsi mpira wetu unavyoendeshwa ataacha kuongea ila kwa sasa ni vyema akiwa fresh tupate busara zake ambazo kwako wewe ni aibu na kutokuwa mstaarabu. Huwa unaongea pumba mara nyingi tu ambazo kwako wewe ni busara...... relax n keep on wining bro huko kwenu hakuna wa kukuambia?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic