This is too much....kila siku kelele....hivi hakuna mtu mwenye ustaarabu hapo Yanga wa kumwambia aache malalamiko mengi akazanie kukisuka kikosi chake??? Its shameful as professional coach to act this way over and over!!!!its despicable and detestable to always hear all of these foolishness from the same person!!
Huyu kocha ni tataizo, simba wamecheza mechi mfululizo kwa mwezi huu ila sijasikia kocha akilalamika au hata Manara. Huyu sio mwalimu wa mpira ila anafaa awe mkuu wa kitengo cha propaganda pale Yanga. Hayo malalamiko hayana msingi kwani wakati Yanga anacheza ligi Simba walikuwa kwenye michezo ya kimataifa..na sasa Simba wanakiona cha moto..
Simba hawapendelewi wanacheza ...Hivi hizi mechi mbili zilizopita wangeshinda ingekuwaje?mbona uchezaji wao wa kawaida..Tunalalamikia ratiba.Hivi Yanga wanaweza cheza ratiba ya Simba mechi 7 siku 16?
Tabu yenyewe Zahera anajiona ni yeye pekee ndie ndie Kocha nchini na kuwa yanga ndiyo inayostaihiki kila kitu na timu na makocha wote wengine ni vitakataka ana porojo jingi ana kila ya aina ya uhuru. Huyu ikiwa apate ubingwa na kushiriki mechi zile za ubingwa WA Africa na kuwa na viporo vinavoifanya Simba icheze kila wiki mechi mbili au tatu nini angefanya kiumbe huyu
Hivi TFF kwa nini hamchkulii hatua Kocha huyu??? mana kla kukicha yeye kulalamika tu. Mbona Kocha wa Simba halalamiki mechi mfululizo? Simba walikuwa wanawakilisha nchi, sasa yeye alitakaje??
Kocha wa Young Africans anaongea facts.. kwa ambao wAnapingana nae wote ni mapoyoyo maana hawaelewi hata nini anaongea. Huyu ni PROFESSIONAL COACH mzuri sana na tuna bahati sana ya kuwa na Coach kama huyu Africa.. sikiliza kwa makini anachoongea.. yupo makini zaidi ya sana na TFF hawawezi kufanya lolote sababu anasema ukweli ambao upo wazi (MUBASHALA) na hiyo ndo faida ya kusema ukweli!
This is too much....kila siku kelele....hivi hakuna mtu mwenye ustaarabu hapo Yanga wa kumwambia aache malalamiko mengi akazanie kukisuka kikosi chake??? Its shameful as professional coach to act this way over and over!!!!its despicable and detestable to always hear all of these foolishness from the same person!!
ReplyDeleteTrue
ReplyDeleteMbona Simba alifululiza hajalalamika jamani? Zahera kweli umezidi.
ReplyDeleteKocha mropokaji tu huyo.Wachezaji Yanga wanashinda kwa juhudi zao hamna chochote wanachopata kutoka kwa huyu kocha wetu jina isipokuwa malalamiko.
ReplyDeleteHuyu kocha ni tataizo, simba wamecheza mechi mfululizo kwa mwezi huu ila sijasikia kocha akilalamika au hata Manara. Huyu sio mwalimu wa mpira ila anafaa awe mkuu wa kitengo cha propaganda pale Yanga. Hayo malalamiko hayana msingi kwani wakati Yanga anacheza ligi Simba walikuwa kwenye michezo ya kimataifa..na sasa Simba wanakiona cha moto..
ReplyDeleteZahera yuko sahihi kabisa, Simba anapewa msaada ya TFF.
ReplyDeleteSimba hawapendelewi wanacheza ...Hivi hizi mechi mbili zilizopita wangeshinda ingekuwaje?mbona uchezaji wao wa kawaida..Tunalalamikia ratiba.Hivi Yanga wanaweza cheza ratiba ya Simba mechi 7 siku 16?
DeleteTabu yenyewe Zahera anajiona ni yeye pekee ndie ndie Kocha nchini na kuwa yanga ndiyo inayostaihiki kila kitu na timu na makocha wote wengine ni vitakataka ana porojo jingi ana kila ya aina ya uhuru. Huyu ikiwa apate ubingwa na kushiriki mechi zile za ubingwa WA Africa na kuwa na viporo vinavoifanya Simba icheze kila wiki mechi mbili au tatu nini angefanya kiumbe huyu
ReplyDeleteHivi TFF kwa nini hamchkulii hatua Kocha huyu??? mana kla kukicha yeye kulalamika tu. Mbona Kocha wa Simba halalamiki mechi mfululizo? Simba walikuwa wanawakilisha nchi, sasa yeye alitakaje??
ReplyDeleteZuhura huyo analalamika utadhani ana mimba changa!Yanga mpeni ndimu!
ReplyDeleteKocha wa Young Africans anaongea facts.. kwa ambao wAnapingana nae wote ni mapoyoyo maana hawaelewi hata nini anaongea. Huyu ni PROFESSIONAL COACH mzuri sana na tuna bahati sana ya kuwa na Coach kama huyu Africa.. sikiliza kwa makini anachoongea.. yupo makini zaidi ya sana na TFF hawawezi kufanya lolote sababu anasema ukweli ambao upo wazi (MUBASHALA) na hiyo ndo faida ya kusema ukweli!
ReplyDeleteWhere did he get such authority to say what he wants and challenge whoever he wants. I remember steps were taken against Manara two years sgo
ReplyDeleteI remember steps were taken against Manara two years ago for such trends
ReplyDelete