May 13, 2019


RAPA Mmarekani, Young Thug, amenusurika kifo baada ya mtu asiyejulikana kufyatua risasi karibu naye.

Polisi wamethibitisha kutokea kwa jaribio hilo huko Miami wakati Thug akiendesha gari aina Ferrari kwenye msafara wa mabasi yaliyokuwa yanaelekea kwenye ziara yake,  yeye  na timu yake ambapo mtu huyo asiyejulikana alifyatua risasi ambapo watu watatu walipata majeraha madogo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic