June 12, 2019


Timu ya taifa ya Kenya na Uganda wametangaza vikosi vyao vya wachezaji 23 vitakavyoshiriki fainali za mataifa ya Afrika 2019 nchini Misri.

Kenya wapo Kundi C na timu za Tanzania, Algeria na Senegal ambapo wao walikuwa nchini Ufaransa kuweka kambi ya maandalizi wakati ambo wenzao Algeria wakiwa Doha Qatar, Senegal wakiwa Hispania wakati Tanzania wakiwa nchini Misri.



2 COMMENTS:

  1. Mbona kikosi cha Tanzania hakipo hapa? Au kwanini Salehe ilishindikana kikosi cha Tanzania kuchapishwa kwa dizaini hii nzuri ya vikosi vya Kenya na Uganda? Au ndio hivyo tena sisi wabongo mambo yetu ya hovyo hovyo tu? Yaani Salehe ni mambo ya aibu ilie listi ya wachezaji wa Taifa stars imeandikwa kwa mkono halafu wewe ukaipiga picha halafu ukaibandika kwenye mtandao wako hovyo kabisa salehe. Itabidi jina la jembe tuliondoshe kwenye ubini wako. Wakati mwengine najiuliza kwnaini nilizaliwa mtanzania lakini ni Magufuli pekee ndie anaezipoza hasira zangu, sisi watanzania ni wazembe mno si utani.

    ReplyDelete
  2. Wasi wasi wangu kama Juuko angelikuwa mtanzania basi zamani sana keshasahau kuichezea taifa stars.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic