June 12, 2019


IMEELEZWA kuwa kwa sasa kikosi cha Simba kinafanya usajili wa kimyakimya na mpango wake mkubwa ni kufanya maboresho kwenye kikosi chao kwenye michuano ya kimataifa.

Mpaka sasa ni wachezaji wawili tu ambao wameongezewa mkataba kwenye kikosi hicho ambao ni John Bocco na Aishi Manula huku wengine mipango yao ikiwa ni ya siri.

Ripoti ya Kocha Mkuu, Patrick Aussems kwa sasa ndiyo inafanyiwa kazi ambapo imeelezwa kuwa wachezaji wenye nafasi ndogo ya kubaki ndani ya kikosi hicho ni pamoja na:-

Asante Kwasi

Zana Coulibaly 

Nicholas Gyan 

Juuko Murshid

Adam Salamba

Emmanuel Okwi

6 COMMENTS:

  1. Okwi tunatambua kwamba alikataa kuongeza mkataba mwenyewe

    ReplyDelete
  2. Ata wawa aondoka bora gian abak

    ReplyDelete
  3. Bora Gyan Abaki Okwi Aendage Anakotaka U superStar Wake Umekwisha Bongo

    ReplyDelete
  4. hamuelewek na habar zenu coz hazinaga uhakika bali mnaandka mawazo yenu tu

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic