June 21, 2019

3 COMMENTS:

  1. kwani Yanga wanasijili kwa ajili ya Simba au kufanya vizuri katika mashindano watakayo shiriki

    ReplyDelete
  2. Waandishi wanapotosha. Sisi Yanga hatusajili kwa ajili ya Simba bali ni kea ajili ya kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mashindano yoote. Hatuna maana tunataka kikosi cha kuifunga simba bali ni kwa ajili ya kufanya vizuri katika michezo yetu yote iliyo mbele yetu. Daima Mbele, Nyuma mwiko

    ReplyDelete
  3. Waandishi waliandika Makambo mtambo wa mabao, Tshishimbi mkata upepo, mara Kamusoko kuivunja kiungo ya Simba na mengine, ila uwanjani hawachezi waandishi wa habari. Hapo huwa ni kocha na wachezaji wake. Kwa hiyo waandishi wanateka morali ya wasomaji na mtazamaji.

    Protas-Iringa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic