June 15, 2019

KOCHA wa Namugo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa watabaki na wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza kwa kuheshimu mchango wao wa kuipambania timu.

Akizungumza na Salehe  Jembe, Thiery amesema kuwa kwa sasa wameanza kufanya mazungumzo na wachezaji wao waliopandisha kikosi.

"Kwa sasa tumeanza mazungumzo na wachezaji walioipandisha timu kwanza kabla ya kufanya maamuzi mengine, lengo ni kusuka kikosi chenye nguvu na tutaongeza wachezaji wengine wenye uzoefu," amesema.

1 COMMENTS:

  1. kichwa cha habari hakiendani na maudhui bro............shame on you

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic