Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa makosa waliyofanya msimu uliopita hayatajirudia tena hivyo lazima wakaze msimu wa mwaka 2019/2020.
"Tulifanya makosa kidogo msimu uliopita hayo yamepita na sasa tumegundua pale tulipokwama msimu ujao hatutakwama na ripoti imetua mezani tunaifanyia kazi," amesema Bwire.
0 COMMENTS:
Post a Comment