June 22, 2019


Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.

Timu hiyo imepanga kufanya usajili bab kubwa katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Bara.

Simba hadi sasa imewasajili wachezaji wawili ambao ni Beno Kakolanya aliyekuwa Yanga na Kennedy Juma wa Singida United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic