October 20, 2018



Mshambuliaji wa timu ya Coastal Union na Mwanamuziki Ally Kiba  amesma mashabiki wasiwe na mashaka makubwa yanakuja.

Kiba alikuwa benchi kwa mara ya kwanza leo na kushuhudia timu yake ikitoka sare ya bila kufungana dhidi ya JKT amesema anajua mashabiki wanachotaka ila wanapaswa kuvumilia.

"Mpira una matokeo matatu,kufungwa,sare na kushinda bado tupo sehemu nzuri kwa sasa mashabiki watulie makubwa yanakuja.

"Mpira una njia zake, ukikosea tu matokeo yanakuwa tofauti na vile ambavyo mnafikiria tutahakikisha tunapata matokeo michezo inayofuata,kuhusu kuwa uwanjani wataniona tu mimi ni mchezaji bado najipanga"alisema Kiba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic