RAIS CAF AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.
Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed alikuwa kwenye hotel ambayo alikuwa akikaa wakati akihudhuria mkutano Mkuu wa FIFA.
Taarrifa zinasema kuwa inadaiwa Rais huyo anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na Rushwa.
Hata kama ni kweli kuna matumizi mabaya ya ofisi na tuhuma za rushwa inakuwaje Ufaransa imkamate wakati wao si wanachama wa CAF? Huku si kuendeleza ukoloni?? kwa nini wasiziambie nchi wanachama wamchunguze na kuchukua hatua?
ReplyDeleteni rushwa ndiyo....matumizi mabaya ya hela,kwa nini wafanyie kikao Paris?Si wangekuja Serengeti...Ndiyo yale yale TZ hapo nyuma vikao vya bodi na wakurugenzi vilikuwa vikifanyika Dubai
DeleteUfaransa alikuwa anaudhuria kikao cha fifa ni kuhusiana na tenda ambazo kampuni ya ufaransa imenyimwa
ReplyDelete