VIDEO: MRITHI WA MAKAMBO KUTUA YANGA - VIDEO
Mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Namibia, Sadney Urikhob yuko katika hatua za mwisho kujiunga na Klabu ya Yanga.
Wakati Urikhob akijiandaa kutia saini mkataba na klabu hiyo, beki Gadiel Michael ametia saini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia Yanga.
Urikhob alitarajiwa kuwasili nchini Juni 4, 2019 usiku na kutia saini mkataba wa miaka miwili kabla ya kurejea katika kambi ya timu yake ya Taifa inayojiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) zinazotarajiwa kuanza Juni 21 hadi Julai 19.
Chanzo hicho cha habari kilisema Urikhob alishamalizana na mmoja wa viongozi wa Yanga akiwa nchini Namibia.
Rekodi za mshambuliaji huyo zinaonyesha aliwahi kucheza timu ya Amazulu ya Afrika Kusini, Saraburi, Super Power Samut Prakan, BEC Tero Sasana (zote za nchini Thailand) na PSMS Medan ya Indonesia.
Kwa nini munaanfika habari za uongo? Kwa nini hamfanyi utafiti wa kina kabla ya kuandika msichokijua? Huyo mshambuliaji UROKHOBU hachezi timu ya Taifa ya NAMIBIA na wala hana timu NAMIBIA na wala hayuko hata katika kikosi cha NAMIBIA kinachocheza Cosafa huko South Africa. Angalia taarifa ya wachezaji 28 waliochaguliwa kujiunga na timu na Namibia National Team kwa safari ya UAE. Habari hii nimeokopi toka gazeti mpja la Nambia la tarehe 31 May 2019
ReplyDeleteMannetti names AFCON training squad
media officer May 31, 2019
Namibia Premier League top Goalscorer Isaskar Gurirab and Black Africa midfielder Wesley Katjiteo have made the 28 men squad for the Brave Warriors training camp to be held in Dubai from 03 June.
Brave Warriors head coach Ricardo Mannetti waited until the end of the road for the team at the ongoing 2019 Cosafa Cup to finalise this squad, adding 11 more players to the already called up 17 players last week.
Isaskar Gurirab of Life Fighters who top scored in the Namibia Premier League with 22 goals and scored two in his first start at Cosafa Cup in the 3-0 over Seychelles on Thursday makes the camp and so did the impressive Wesley Katjiteo who had a fine run in midfield.
Defender Charles Hambira too makes the squad and so did African Stars exciting player Marcel Papama and teammate Ivan Kamberipa in defence.
Ratanda Mbazuvara who kept a clean sheet in the 3-0 over Seychelles will have to fight it out for the three spots for goalkeepers in the final 23 men squad to be named on 11 June by coach Mannetti.
Here is the 28 men training squad: Ratanda Mbazuvara, Virgil Vries, Loydt Kazapua, Max Mbaeva, Ryan Nyambe, Larry Horaeb, Chris Katjiukua, Teberius Lombard, Denzil Haoseb, Ivan Kamberipa, Charles Hambira, Riaan Hanamub, Ananias Gebhardt, Absalom Iimbondi, Willy Stephanus, Petrus Shitembi, Ronald Ketjijere, Dynamo Fredericks, Marcel Papama, Wesley Katjiteo, Manfred Starke, Benjamen Nenkavu, Deon Hotto, Itamunua Keimuine, Benson Shilongo, Peter Shalulile, Joslyn Kamatuka and Isaskar Gurirab.
Msipende kuandika musichokijua. Na juzi muliandika kwamba JUMA BALINYA wa POLICE FC ya Uganda anayewaniwa na Simba eti yuko National team iliyoko kwenye training DUBAI. Ni uongo mkubwa sabau JUMA BALINYA alitemwa ktk the cranes najuzi jioni alicheza katika mechi ya COSAFA ambayo uganda imepeleka kikosi chake cha pili cha timu ya Taifa. Alicheza na kutolewa dakika ya 76 ambapo matokea yalikuwa 1 kwa 1 kabla ya Uganda kutolewa nusus fainali na South Africa B kwa njia Penalt. Mumeandika kwamba viongozi wa simba wamemfuata mchezaji huyo DUBAI ni uongo maana Balinya yuko South anasubiri kuvheza kutafuta mshindi wa tatu. Msodanganye maana wengine tunasoma magazeti ya mievhezo ya Afrika na tunafuatilia wachezaji wa timu za taifa za afrika kwa uzuri sana
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletewasajilini tu wale wote ambao Simba iliwaleta na ikawafanyia majaribio wakashindwa!duh usajili wa Youtube
ReplyDelete