June 11, 2019

3 COMMENTS:

  1. Simba waache tu waendelee kupiga story na tambo zao lakiki hakika Yanga kapiga bao. Kama ni kweli kuwa kutoka CAF wanataka timu zote zilizofuzu klabu bingwa Africa kuwasilisha majina ya wachezaji wao kabla ya Juni 20 basi ni matatizo makubwa kwa Simba na kuna uwezekano mkubwa wa Simba kushindwa kusajili wachezaji wanaowataka kabla ya deadline date. Na Simba wakishindwa kukamilisha kuziba mapengo ya wachezaji wanaowahitaji kabla dirisha la usajili kufungwa basi itathibitisha dhahiri kuwa Simba kuna uzembe fulani hivi katika masuala ya usajili .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nilivyoelewa mie kuhusu ripoti ya kocha Patrick Aussems na benchi lake la ufundi anahitaji wachezaji wa kuongenza nguvu kama watano wa kigeni na haoni mzawa wa timu nyingine anayeweza kuleta impact ktk wachezaji wake wazawa walioko kwa sasa.Kwa maana usajili wa Simba sio wa kusajili na kuibadilisha timu nzima kama tunavyoona Yanga inavyofanya kwa maelekezo ya kocha wao Zahera.Sasa vipi Simba isajili kwa mtindo wa Yanga?

      Delete
  2. CAF ILICHOTOA DEADLINE YA TAREHE 30 NI USAJILI WA TIMU , SIYO USAJILI WA WACHEZAJI

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic