SIMBA WALIVYOWAKA KAGERA KUBAKI LIGI KUU BARA - VIDEO Kufuatia Kagera Sugar kusalia kunako Ligi kuu Bara baada ya kuifunga Pamba SC mabao 2-0 kwenye mchezo wa Play Off, mashabiki wa Simba hawajasita kutoa maoni yao.
0 COMMENTS:
Post a Comment