RUBEN Loftus-Cheek ambaye ni kiungo wa Chelsea amejifunga ndani ya klabu hiyo kwa kuongeza kandarasi ya miaka mitano.
Kiungo huyo alikuwa anatajwa kusepa ndani ya timu hiyo lakini amekubali kuongeza kandarasi ndani ya klabu hiyo huku akipokea mkwanja mrefu kwa wiki ambao ni pauni 150,000.
Ni mchezaji wa kwanza kumwaga wino ndani ya klabu hiyo tangu alipotua Kocha, Frank Lampard ambaye anapenda kuona wachezaji wa Londoni wanachekelea kubaki ndani ya kikosi hicho.

0 COMMENTS:
Post a Comment