MAJINA 26 SIMBA YATUMWA CAF KWA AJILI YA LIGI YA MABINGWA, OKWI NJE, GADIEL NDANI
Imeelezwa kuwa hii ndiyo orodha kamili ya majina ya wachezaji wa Simba yaliyotumwa CAF kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
MAKIPA
1. Aishi Manula
2. Beno Kakolanya
3. Ally Salim
MABEKI
4. Shomari Kapombe
5. Pascal wawa
6. Erasto Nyoni
7. Mohammed Hussein
8. Gadiel Michael
9. Gervas Fraga Vieira
10.Yusuf Mlipili
11. Traitone da Silver
12. Kennedy Wilson
VIUNGO
13. Jonas Mkude
14. Muzamir Yassin
15. Clatous Chama
16. Sharaf Eldin Shiboub
17. Said Ndemla
18. Francis Kahata
19. Hassan Dilunga
STRIKERS
20. Meddie Kagere
21. John Bocco
22. Rashid Juma
23. Ibrahim Ajibu
24. Deo Kanda
25. Wilker Henrique da Silver
26. Miraji Athumani
Time to tell
ReplyDeleteInasemekana Gadiel alisajili akiwa Misri kwa Mali kauli, kufika Dar pesa kupewa anazungushwa baada ya mwekezaji kukaa pembeni.
ReplyDeletesio kweli, gadiel kasaini na leo anatambulishwa. Ishu hapo ni Okwi, sioni jina lake.
DeletePropaganda za yanga ili kupunguza uchungu.
DeleteGadiel bado anadai Yanga 10milioni za msimu ulio pita, mbona huzungumzii hill?
Wachezaji 26 halafu vikosi vitatu vinatoka wapi!? Politics
ReplyDeleteKaka hesabu za soccer ni tofauti na hesabu za machungwa.
DeleteSIJAWAONA JUKO, OKWI, KOTEI NA NIYONZIMA NI HATARI KUWAACHA KIUKWELI KWA KUTEGEMEA WABRAZIL AMBAO HATUWAJUI WAKOJE.
ReplyDeleteHuwezi kuwajua kwa sababu hujawahi kuwaona wanacheza na ndo maana hata michuano ya Copa America kumekuwa na lundo la wachezaji usiowajua maana hatuna uwezo huo wa kuona kila aina ya mchezaji aliyoko duniani tuwaache mda utaongea yetu ni macho tu, hata masikio tunayaweka kando
DeleteHakika umelonga mwanasimba mwenzangu
DeleteKwasi umemuona?
ReplyDeleteGadiel aende akamdai Hussein Nyika
ReplyDelete