Amunike sio kocha ila sisi watanzania hasa baadhi ya watumishi umma hawapo serious na majukumu yao ta kazi.Kama ulimfuatilia Juma Mkamia aliewahi kuwa waziri michezo katika serikali ya Tanzania anasema alifanya mazungumzo na Raisi wa chama cha mpira cha Nigeria na raisi huyo akamwambia Mkamia kuwa kama anageliombwa ushauri na raisi wa chama cha soka Tanzania kuhusu kumuajiri Amunike kama kocha wa Taifa stars basi yeye asingekubaliana nae kwakuwa Amunike sio kocha. Sasa kama wanageria wenyewe wanatushangaa kwa kuajiri kocha amabe hastahiki kupewa majukumu ya timu ya Taifa,sisi watanzania kiherehere cha nini kuhangaika kumpamba na kumsafisha kama vile tunamjua sana kuliko hata wanageria wenyewe tena sio wanageria wa mitaani bali ni vigogo wa mpira. Hapa ndipo pale unapoamini hii TFF Imejaa siasa za kijinga badala ya kuwa serious na kazi inayowahusu.Katika suala la kocha wa timu taifa kwa kweli bora Namungo Fc wapo makini kwenye uteuzi makocha kuliko wanaoteua kocha wa Taifa stars.

ReplyDelete