July 31, 2019


JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kukijenga kikosi kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.

KMC itamenyana na AS Kigali kati ya Agosti 10 ikiwa ni mchezo wa kombe la Shirikisho na kwa sasa wanaendelea na mazoezi uwanja wa Bora.

Mayanja amesema:-"Kazi kubwa ni kuaandaa kikosi kwa ajili ya michuano ya kimataifa, michuano ya Kagame imenipa picha ya kikosi kamili jinsi kilivyo hivyo sina mashaka na maandalizi yetu kwa sasa,".

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic