July 10, 2019


IMEELEZWA kuwa winga wa Liverpool anayekipiga timu ya Taifa ya Senegal ambayo imetinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Afcon ya Senegal, Sadio Mane anawindwa na Real Madrid.

Zinadine Zidane ambaye ni Meneja wa Real Madrid amevutiwa na uwezo wa nyota huyo ambaye ana tuzo ya ufungaji bora msimu uliopita ndani ya Ligi Kuu England.

Imeelezwa kuwa Madrid ipo tayari kumtoa nyota wake Vinicius Jr kwa mkopo ili kukamilisha dili la kupata saini ya Mane.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic