GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.
Gadiel anaungana na wachezaji wenzake wawili na kufikisha jumla ya wachezaji watatu ambao wametoka Yanga.
Wengine ni Ibrahim Ajib ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga pamoja na Beno Kakolanya ambaye alikuwa ni mlinda mlango wote wamesaini kandarasi ya miaka miwili.
Siasa zinaharibu soka la bongo, Gariel ana kiwango gani cha mill 80? Bado hatujatatua tatizo la no 3 ndani ya simba. Miili midogo hakuna tofauti na shabalala
ReplyDeletekwani hapo juu wametamka mil 80? Au kwa kuwa Yanga walishindwa kumpa mil 70 alizozitaka Gadiel?
Deletewakati mwingine mchezaji kw au utashi wake amishaipata timu anayoitaka na kwa timu nyingine atadai hela nyingi.. Kabla ya TP Mazembe Ajibu alishakuwa ameishasaini Simba tayarii...alikuwa anataka dau kubwa TP Mazembe kuwajaribu tu
Dogo usisahau umewatukana na umewadharau wazee waliokulea,asante sana
ReplyDeleteGadiel amelelewa na azam fc yanga alipita tu acheni maneno yenu kama hakuna hela MTU utaishi vipi moira in pesa hats kama mwanao ndiyo kama gadi amepewa 30m pia kuna ofa kubwa zaidi utaxhafua nini? Kumbuka hakuxheza yanga kwa ajiri ya mapenzi pe
DeleteKwani alipokuwa Yanga alikuwa na umbo kubwa?Mpira sio umbo peke yake
ReplyDeleteKtk sajiri ambazo Simba hawakunifurahisha Ni huu uliofanywa. Mm nilitegemea international player atasajiliwa tena mzoefu, jembe haswa ambae ana umbile tofauti na Tshabalala ili wawe wanabadilishana na Shabalala kulingana na aina ya mechi na aina ya wachezaji wa timu pinzani tutakaukuwa tunacheza nazo. Hapa sioni tofauti Kati ya Tshabalala na Gadiel japo Ni kweli kuwa na mchezaji mbadala Ni jambo zuri.
ReplyDeleteErasto Nyoni ni mzuri pia kwa nafasi hiyo ya kina Hussein na Gadiel.
DeleteWazee gani waliomlea?Yanga si walimchukua kutoka Azam?
ReplyDeleteSasa leo akiondoka kuna tatizo gani?
Wazee waliomlea nikina nani?
Si muda ndio tutaongea,tusubiri.
ReplyDeleteGadieli ni wa zaidi ya millioni mia 200.Millioni 80 kitu gani? Uwezo wake uwanjani unazidi umri wake hana tofauti kabisa na kapombe wakati ananyanyukia. Gadiel akipata wasismamizi wazuri basi atafika mbali sana.Niwapongeze tu simba kwa juhudi zao hata za kuwajali wazawa pia kwa kuwapa mikata yenye maslahi mazuri.
ReplyDeletehapo safi kiwango kitapanda zaidi ya hpo kwan anapambana akiwa uwanjan
ReplyDeletekama kila mchezaji Yanga walimpata kwa mil 50, ni akili za wachezaji hao waliosaini Yanga.Kila mtu anajua thamani yake..Hata Okwi kwa sasa thamani yake kufuatana na yeye mwenyewe ni zaidi ya Simba wanayotaka kumpa...Hivyo kasepa zake na ni sawa...Simba hawaumii mchezaji kuondoka
ReplyDeleteYan mkiletewa wa kimataifa mnasema wamekosea kwakuwa hamjui viwango vyao,, haya leo kaletwa mnaemjua kiwango chake, mnataka wakimataifa?? Mashabiki bhn,
ReplyDeleteKumbe Yanga ina wachezaji professional, ndio maana Simba inawafuata kwa ajili ya Champions league.......
ReplyDeleteHata man utd n ubovu wake pogba, de gea team kibao zina wahitaji....team perfomance ndo ttz n sio individual player
Deletegaldiel anatosha tu wachezaji wa nje wa nini anaitwa mpaka kushiriki afcon alafu mnaanza kuhitaji machezaji yenye umbo kubwa why?
ReplyDeleteUmbo???
ReplyDeleteTunasajili umbo?????
Zana alikuwa mdogo???
Kapombe ni mkubwa???
DRC,Misri pamoja na maumbo yao makubwa wamefanya nn mbele ya wenye maumbo ya kawaida??????
Sio lazima kila MTU atoe maoni jamani, wengine tusome tu. Na hata kama hakijaandikwa kitu, Sikh itapita na mb zetu zitapona
Pam0ja
ReplyDelete