ALLY MAYAY AKANUSHA TAARIFA ZA KUICHANA YANGA 'SIYO MIMI JAMANI' Ally Mayay akanusha makala iliyosambaa mitandaoni ikizungumzia madhaifu ya klabu ya Yanga.
hata kama sio wewe ila ule ujumbe uko pouw ni uchambuzi kama chambuzi nyingine
ReplyDeleteMjadala uwe namna gani wanachama na mashabiki wa Yanga waende Botswana kuhamasisha timu ili wapate ushindi...hili ndilo la kulifanya kwa sasa hivi
ReplyDelete