August 1, 2019

KIKOSI cha Azam FC leo kitajaribu mitambo yake mipya mbele ya kikosi cha Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani wa kipekee utapigwa majira ya saa 1:00 usikuwa uwanja wa Chamazi.

Azam FC itatumia mchezo wake huo kuandaa majembe yake kwa ajili ya mchezo wake wa kimataifa dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia huku Polisi Tanzania ikijiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao.

 Majembe mapya kwa Azam FC yatakayotumika leo ni pamoja na Richard Djodi wa Ivory Coast,Seleman Ndikumana, Kassim Khamis na Emmanuel Mvuyekure.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic