Mtangazaji wa kituo Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na watu wengi wakisema wanavutiwa na uwezo wake wengine wakisema ni shabiki wa Simba ama Yanga, amefanya mahojiano na Global TV Online akafunguka mambo mbalimbali juu ya maisha yake kwenye utangazaji na kudokeza kwamba ni shabiki wa timu ya Tukuyu Stars ya Mbeya.
0 COMMENTS:
Post a Comment