IMEELEZWA kuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anampango wa kuachia ngazi ya uongozi ndani ya Simba.
Kwa sasa nafasi ya Ofisa Habari ni miongoni mwa zile ambazo zinatafuta wafanyakazi baada ya Simba kutangaza nafasi za kazi ila bado anashikilia Manara ambaye ndiye Ofisa Habari.
Habari zinaeleza kuwa Manara amesema sababu kubwa itakayomfanya aachie madaraka ndani ya Simba ni pale mashabiki wa Yanga watakapojaza uwanja wa Taifa siku ya Mwananchi Agosti 4 zaidi ya Simba Day Agosti 6.

Usiwe na waziwazi uwanja utatapika si unafahamu kuwa idadi ya wanasimba Ni kubwa Zaidi kuliko idadi ya waoenzi WA timu yoyote nyengine. Pia baba na utundike mguu
ReplyDeleteUandishi mbovu usioelezeka.Shit hole!!!!!!
ReplyDeleteHujazoea makanjanja?
ReplyDeleteHahahahahahahahaha!!!!!!!inakera sana hii blog ndugu yangu
Deletewewe muandishi ni kanjanja tena wa kiwango cha juu kabisa,hongera sana kwa kushika namba miongoni mwa waandishi makanjanja.
ReplyDeletewe are wasting our time and money to browse your blog but you are always having negative sympathy,hii inaonyesha jinsi gani ulivyo na uelewa mdogo.
ReplyDeleteWell said brother,the don't even care how much they are under rated by those who visits this blog and blasts them over and over.Blog imepoteza uaminifu kwa habari zisizo na mpangilio wala uhalisia
DeleteHuyu na mwandishi was nakala wote bomu
ReplyDeleteHaji acha ajinga, kwa muda mrefu umekuwa msemaji wa Yanga mshahara unalipwa na Mikia, maana kila litokalo kwa kinywa chako yanga kwanza alafu ndo simba. Asante kwa kutusemea bila malipo.
ReplyDeleteHuyu mwandishi mhuuuu ni tatizo kazi yake ni mbovuuuuuuu haisanifu taaluma yake.
ReplyDelete