September 12, 2019




Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa jeshi lake lipo sawa kuvaana na Simba kesho.

Simba kesho itamenyana na Mtibwa Sugar uwanja wa Uhuru ikiwa ni mchezo wa pili.

Akizungumza na Saleh Jembe, Katwila amesema kuwa timu inatarajia kutia timu Bongo leo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho.

"Maandalizi yapo vizuri na kila kitu kinakwenda sawa, leo tunatarajia kutia timu Bongo kwa ajili ya maadalizi ya mwisho, mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic