NINJA AONESHA DINGA MPYA, ITAZAME HAPA
Mchezaji anayekipiga katika klabu ya LA Galaxy II inayoshiriki Ligi Daraja la Pili huko Marekani, ameonekana akiwa na gari jipya alilopiga nalo picha, haijajulikana kama ni la kwake ama aliamua kutumia la wenzake kupig picha tu .
Vaa miwani.Hiyo gari ni secondhand sio mpya.Wacheni kukuza mambo.
ReplyDeleteLigi daraja la pili?
ReplyDeleteNinja aonesha ndinga mpya kichwa cha habari. ndani ya habari (haijajulikana kama ni la kwake ama aliamua kutumia la wenzake kupig picha tu . jamani mbona mnatupotosha kwa nini kila mnachokiona tu mnaposti why msifanyie research?
ReplyDeleteNYINYI MNAROHO ZA KICHAWI KEKE NYIE KWANI KUMILIKI GARI HAWEZI WAKATI ANAPOKEA MKWANJA ACHENI ROHO ZA KISHOGA
Delete